Nikki wa pili, msanii wa kizazi kipya anayesoma PhD

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Kwanza nianze kumpongeza msanii mwimbaji Nikki wa pili ambaye kwa mujibu EATV anasoma PhD kwa sasa.

Tanzania atakuwa msanii wa ngapi kuwa noyo PhD?
Afrika Mashariki je
Afrika Mashariki na Kati je?
Afrika je watakuwa wangapi wenye PhD?
Duniani je akifanikiwa kuipata atakuwa msanii mwimbaji wa ngapi kuwa na PhD?

Any way big up!
 
Naona vijana baada ya kumtia moyo kijana mwenzenu kwa hatua aliyochukua badala yake mnampiga majungu.......sijui kwanini vijana wanakuwa na roho za kwanini....!!??

Roho kama hizi wakizeeka lazima wawe wachawi.......

Haipendezi namna hiyo vijana.....

Shida zako haziwezi kuisha kwa kumchukia aliyefanikiwa bali kwa kujifunza kupitia kwa aliyefanikiwa......
 
Siku hizi kusoma imekuwa fasheni utamsikia mtu kitaa anakuambia nimeshamaliza master mzumbe, alaf mida anakupga mznga mm mwenye cheti tu
Elimu ya Bongo ya kutegemea kuajiriwa ni hovyo kweli...na hasa kipindi hiki kigumu hakuna ajira.
 
Hata haimsaidii,yupo chini ya rugee,sawa na lipumba tu
 
Uzi kama huu ungekuwa umepostiwa na wenzetu majuu ungeona jinsi jamaa anavyo pewa saport na big- up
Lakini sisi wa bongo he!!!
Afu unakuta jitu halina ata 'a' kichwani yani yeye mtu wa kufeli kila siku tangu aje duniani si kwenye maisha na si kwenye mapenzi darasani ndo kabisaaaa
afu sasa ubishi na comment za kishamba anaongoazaa
Tubadilike jamani da!???
 
Hii mistari mitatu ya mwisho umemaliza kila kitu. kudos
 
Wasanii wasomi wapo hata siajabu nick alikuwa hajazaliwa,,,kuna solo thang,kuna k basil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…