Kwanza nianze kumpongeza msanii mwimbaji Nikki wa pili ambaye kwa mujibu EATV anasoma PhD kwa sasa.
Tanzania atakuwa msanii wa ngapi kuwa noyo PhD?
Afrika Mashariki je
Afrika Mashariki na Kati je?
Afrika je watakuwa wangapi wenye PhD?
Duniani je akifanikiwa kuipata atakuwa msanii mwimbaji wa ngapi kuwa na PhD?
Any way big up!
Naona vijana baada ya kumtia moyo kijana mwenzenu kwa hatua aliyochukua badala yake mnampiga majungu.......sijui kwanini vijana wanakuwa na roho za kwanini....!!??
Roho kama hizi wakizeeka lazima wawe wachawi.......
Haipendezi namna hiyo vijana.....
Shida zako haziwezi kuisha kwa kumchukia aliyefanikiwa bali kwa kujifunza kupitia kwa aliyefanikiwa......
wenye PHD soma vizuri threadWasanii wasomi wapo hata siajabu nick alikuwa hajazaliwa,,,kuna solo thang,kuna k basil
Tatizo ni kwamba hawana jipya hiyo PhD wewe hata ukimtia moyo itakusaidia nini??
Every body for himself banaaaaa but God for us all
Akafie mbele na PhD yake maana anaonekana akifika uprofisa atakuwa majanga kama ya profisa wa buguruni
Tatizo ni kwamba hawana jipya hiyo PhD wewe hata ukimtia moyo itakusaidia nini??
Every body for himself banaaaaa but God for us all
Akafie mbele na PhD yake maana anaonekana akifika uprofisa atakuwa majanga kama ya profisa wa buguruni
Hawa watu wana elimu gan imean wamesoma mpka kiwango gan cha elimuWasanii wasomi wapo hata siajabu nick alikuwa hajazaliwa,,,kuna solo thang,kuna k basil
Kwahiyo atakuwa anajiita Dr. Sweet Nikki?Eti mwanaume anajiita sweet Nikki.Kwa vile PhD nikutoka kile chuo chetu sishangai.
Wasanii wasomi wapo hata siajabu nick alikuwa hajazaliwa,,,kuna solo thang,kuna k basil
Acha kukariri kwani Nikki ameajiriwa na nani? na amesema hategemei kuajiriwa bali kuajiri. Kijana amefanikiwa kwenye elimu acha tumpongeze kwa hilo haa, wabongo roho ya chuki ndio inasababisha kulipka kwa magonjwa ya ajabu yasiyojulikana chanzo kumbe chanzo ni chuki na wivu.Elimu ya Bongo ya kutegemea kuajiriwa ni hovyo kweli...na hasa kipindi hiki kigumu hakuna ajira.
Hahaha imekaa vizuri hiyo.Kwahiyo atamuwa anajiita Dr. Sweet Nikki?
Umeongelea mawazo yangu pia mzee mwenzanguHapana bwana mdogo....mambo hayaendi hivyo......tunatakiwa kupongezana kila kwenye jambo la kheri......
Inawezekana kwako wewe elimu yake isiwe na manufaa lakini haimaanishia haina manufaa kwa wote......
Amini usiamini bwana mdogo una roho ya kwanini.....na unapaswa uikemee kwa nguvu zote kwani haipaswi kuwepo kwa kijana kama wewe...mwenye matamanio ya maendeleo......
Chuki huchafua moyo.....
ashakwambia hataki kazi.... au hujasikiliza wimbo wake wa "sitaki kazi"Elimu ya Bongo ya kutegemea kuajiriwa ni hovyo kweli...na hasa kipindi hiki kigumu hakuna ajira.