Nikki wa pili, msanii wa kizazi kipya anayesoma PhD

Nikki wa pili, msanii wa kizazi kipya anayesoma PhD

Kwanza nianze kumpongeza msanii mwimbaji Nikki wa pili ambaye kwa mujibu EATV anasoma PhD kwa sasa.

Tanzania atakuwa msanii wa ngapi kuwa noyo PhD?
Afrika Mashariki je
Afrika Mashariki na Kati je?
Afrika je watakuwa wangapi wenye PhD?
Duniani je akifanikiwa kuipata atakuwa msanii mwimbaji wa ngapi kuwa na PhD?

Any way big up!

Sasa sisi itatusaidia nini PhD yenyewe kwenda kukremisha hakuna jipya upuuzi mtupu
 
Naona vijana baada ya kumtia moyo kijana mwenzenu kwa hatua aliyochukua badala yake mnampiga majungu.......sijui kwanini vijana wanakuwa na roho za kwanini....!!??

Roho kama hizi wakizeeka lazima wawe wachawi.......

Haipendezi namna hiyo vijana.....

Shida zako haziwezi kuisha kwa kumchukia aliyefanikiwa bali kwa kujifunza kupitia kwa aliyefanikiwa......

Tatizo ni kwamba hawana jipya hiyo PhD wewe hata ukimtia moyo itakusaidia nini??

Every body for himself banaaaaa but God for us all

Akafie mbele na PhD yake maana anaonekana akifika uprofisa atakuwa majanga kama ya profisa wa buguruni
 
una matatizo na nick kwani mkuu
 
Tatizo ni kwamba hawana jipya hiyo PhD wewe hata ukimtia moyo itakusaidia nini??

Every body for himself banaaaaa but God for us all

Akafie mbele na PhD yake maana anaonekana akifika uprofisa atakuwa majanga kama ya profisa wa buguruni

Hapana bwana mdogo....mambo hayaendi hivyo......tunatakiwa kupongezana kila kwenye jambo la kheri......

Inawezekana kwako wewe elimu yake isiwe na manufaa lakini haimaanishia haina manufaa kwa wote......

Amini usiamini bwana mdogo una roho ya kwanini.....na unapaswa uikemee kwa nguvu zote kwani haipaswi kuwepo kwa kijana kama wewe...mwenye matamanio ya maendeleo......

Chuki huchafua moyo.....
 
Elimu ya Bongo ya kutegemea kuajiriwa ni hovyo kweli...na hasa kipindi hiki kigumu hakuna ajira.
Acha kukariri kwani Nikki ameajiriwa na nani? na amesema hategemei kuajiriwa bali kuajiri. Kijana amefanikiwa kwenye elimu acha tumpongeze kwa hilo haa, wabongo roho ya chuki ndio inasababisha kulipka kwa magonjwa ya ajabu yasiyojulikana chanzo kumbe chanzo ni chuki na wivu.
 
Hapana bwana mdogo....mambo hayaendi hivyo......tunatakiwa kupongezana kila kwenye jambo la kheri......

Inawezekana kwako wewe elimu yake isiwe na manufaa lakini haimaanishia haina manufaa kwa wote......

Amini usiamini bwana mdogo una roho ya kwanini.....na unapaswa uikemee kwa nguvu zote kwani haipaswi kuwepo kwa kijana kama wewe...mwenye matamanio ya maendeleo......

Chuki huchafua moyo.....
Umeongelea mawazo yangu pia mzee mwenzangu
 
ph.D sawa ila mwanahiphop gani anakaa upande wa wanyang'anyi?! huyu anajua jinsi ccm wanavyosababisha ufukara nchi hii lakini yeye ni sapota namba moja wa maccm,..mimi namuona msaka tonge tu no wonder anajiita sweet.
 
Back
Top Bottom