Nikki wa pili msomi wa Phd

Nikki wa pili msomi wa Phd

Kuna takataka zimekaa darasani lakini ni vilaza wa kutupwa, but unfortunately huwa wanajiona wana akili kubwa BALAA.

Wakiongozwa na,

1. John Pombe

2. Nikki Wa Pili

3. Hamisi Kigwangalla

4. Mwigulu Nchemba
pombe na huyo niki ni washamba sana
 
Huyu jamaa hana lolote ni mshamba tu kama mtu anajichua yy kinamuuma nn? Hayo ni maisha yake yy anaingilia amekuwa nani? Kama anataka na yy ajichue sasa! Eti uwoga wamajukumu kila mtu anataratibu zake za maisha uwezi kumuingilia tu ovyo ovyo ashukuru mungu anakipaji anaimba anapata na show basi akijisikia kuropoka anaropoka tu [emoji22]
mshamba sana,mbaya zaidi hajijui kuwa ni mshamba
 
Kwanza aweke proposal yake hapa ya PhD tuichambue
 
Ujumbe umeuona?au shida ni PhD ya niki?unafikiri Phd ndio umekwiva kabisa?
 
Ila mademu wakikupa ukimwi utajiona ni bora genye ungelipoza kwa nyeto tu....

Acheni tu,ngoma sio poa pia....tena mademu wenyewe wa mjini HV daaaah.....
 
Back
Top Bottom