Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
- Ni msanii mahiri
- Hana kashfa wala kiki yoyote
- Mtulivu Sana
- Ana akili nyingi Sana
- Ni msomi, mwanazuoni
- Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
- Ana busara sana
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.