Nikki wa Pili ndio msanii/celebrity bora Tanzania kwa miaka 30 iliyopita

Nikki wa Pili ndio msanii/celebrity bora Tanzania kwa miaka 30 iliyopita

Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
  • Ni msanii mahiri
  • Hana kashfa wala kiki yoyote
  • Mtulivu Sana
  • Ana akili nyingi Sana
  • Ni msomi, mwanazuoni
  • Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
  • Ana busara sana
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
We dogo falaaa sana, na mala nyingi nimekuwa nakuambia upo na mavi kwenye kichwa chako na sio ubongo.. ona sasa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom