Nikki wa Pili ndio msanii/celebrity bora Tanzania kwa miaka 30 iliyopita

Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
  • Ni msanii mahiri
  • Hana kashfa wala kiki yoyote
  • Mtulivu Sana
  • Ana akili nyingi Sana
  • Ni msomi, mwanazuoni
  • Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
  • Ana busara sana
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
Ndio mana mzee wa jalalani alimtafuna dem wake
 
Msanii gani anajiona yeye ndo kila kitu au unaleta ukanda nikki kujiona kama elimu yeye ndo wa kwanza yeye ndo kwa wasomi yeye sijui ndo mwenye mke mzuri kwa sura gani huyo mke shape gani basi
Msanii bora professor j, sugu , mwana fa wote wako real ,AY,

WEWE ni ile timu mbege mnavyopenda kujifanya kila sekta mpo ni kwamba mziki hamuuwezi
 
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
  • Ni msanii mahiri
  • Hana kashfa wala kiki yoyote
  • Mtulivu Sana
  • Ana akili nyingi Sana
  • Ni msomi, mwanazuoni
  • Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
  • Ana busara sana
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
Kwa ushahidi huu nilioweka naomba wakutambue kuwa wewe ni Mkuu wa wilaya ya kosarawe unatafuta umaarufu wa kisaisa kupitia udc ila unaonesha woga wa kuja na account fake

USSR
Screenshot_20211114-111210.jpg
Screenshot_20211114-111155.jpg
Screenshot_20211114-111144.jpg
Screenshot_20211114-111131.jpg
Screenshot_20211114-111120.jpg
Screenshot_20211114-111101.jpg
Screenshot_20211114-111049.jpg
Screenshot_20211114-111038.jpg
Screenshot_20211114-111014.jpg
Screenshot_20211114-110952.jpg
Screenshot_20211114-110923.jpg
Screenshot_20211114-110909.jpg
Screenshot_20211114-110854.jpg
Screenshot_20211114-110909.jpg
 
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
  • Ni msanii mahiri
  • Hana kashfa wala kiki yoyote
  • Mtulivu Sana
  • Ana akili nyingi Sana
  • Ni msomi, mwanazuoni
  • Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
  • Ana busara sana
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241

Daaah jamaa ni mtu wa kawaida mno, yani sifa ulizompa ni uharo mtupu. Akili nyingi ..?? Are you serious..??
Akili nyingi umezipima wapi..??
Mara mia nimpe Nay wa Mitego (True boy) ila sio huyu Nikki wa Pili kazi kujiona na kujitangaza eti yeye ni msomi mara anasoma sana vitabu blaah blaah kibao
 
Baaasi jamaa ndio ajira yake kumsifia Nikki wa Pili. Sasa alete sifa za ukweli. Niki ni genius kwa kipi lakini mbona ni kichwa panzi tu..??
 
Daaah jamaa ni mtu wa kawaida mno, yani sifa ulizompa ni uharo mtupu. Akili nyingi ..?? Are you serious..??
Akili nyingi umezipima wapi..??
Mara mia nimpe Nay wa Mitego (True boy) ila sio huyu Nikki wa Pili kazi kujiona na kujitangaza eti yeye ni msomi mara anasoma sana vitabu blaah blaah kibao
Huyu jamaa nae huwa anazidisha sana kujisifia na huo usomi wake wakati masomo aliyosoma ni mepesi sana bora mwenye diploma ya civil engineer
 
Back
Top Bottom