tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Ndio mana mzee wa jalalani alimtafuna dem wakeNikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
- Ni msanii mahiri
- Hana kashfa wala kiki yoyote
- Mtulivu Sana
- Ana akili nyingi Sana
- Ni msomi, mwanazuoni
- Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
- Ana busara sana
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
Nikki usichafue wasanii wenzako una tabia za kijinga sanaMwanaFA ana makando alijihusisha na dona, si vizuri kusema hapa Ila Kama mtu mzima utaelewa.
Wewe umemalizia?Amalize mjengo kwanza ndio mje na MAPAMBIO.
Wewe zuzu kiwango cha UHDWe nae Zuzu kiwango cha HD
Wewe ungeniomba ushauri wowote.....Binafsi, kama ningekutana nae na angeniomba ushauri wowote...
.... Ningemwambia aachane na Muziki.
Wewe ulitafunwa na nani?Ndio mana mzee wa jalalani alimtafuna dem wake
Nani kachafuliwa wewe popo?Nikki usichafue wasanii wenzako una tabia za kijinga sana
Sugu??? Sugu??Msanii bora ni Sugu yule jamaa ana historia kubwa sana ya huu muziki, ukitoa mambo yake ya siasa, jamaa ni mpiganaji ambaye ana historia ya kuhustle since wayback
Wewe umemalizia?
Kwa ushahidi huu nilioweka naomba wakutambue kuwa wewe ni Mkuu wa wilaya ya kosarawe unatafuta umaarufu wa kisaisa kupitia udc ila unaonesha woga wa kuja na account fakeNikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
- Ni msanii mahiri
- Hana kashfa wala kiki yoyote
- Mtulivu Sana
- Ana akili nyingi Sana
- Ni msomi, mwanazuoni
- Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
- Ana busara sana
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
Duuu.Kwa ushahidi huu nilioweka naomba wakutambue kuwa wewe ni Mkuu wa wilaya ya kosarawe unatafuta umaarufu wa kisaisa kupitia udc ila unaonesha woga wa kuja na account fake
USSRView attachment 2010032View attachment 2010033View attachment 2010034View attachment 2010035View attachment 2010036View attachment 2010037View attachment 2010038View attachment 2010040View attachment 2010041View attachment 2010042View attachment 2010043View attachment 2010044View attachment 2010045View attachment 2010047
Nikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
- Ni msanii mahiri
- Hana kashfa wala kiki yoyote
- Mtulivu Sana
- Ana akili nyingi Sana
- Ni msomi, mwanazuoni
- Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
- Ana busara sana
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
Msanii bora ni Sugu yule jamaa ana historia kubwa sana ya huu muziki, ukitoa mambo yake ya siasa, jamaa ni mpiganaji ambaye ana historia ya kuhustle since wayback
Kwa ushahidi huu nilioweka naomba wakutambue kuwa wewe ni Mkuu wa wilaya ya kosarawe unatafuta umaarufu wa kisaisa kupitia udc ila unaonesha woga wa kuja na account fake
USSRView attachment 2010032View attachment 2010033View attachment 2010034View attachment 2010035View attachment 2010036View attachment 2010037View attachment 2010038View attachment 2010040View attachment 2010041View attachment 2010042View attachment 2010043View attachment 2010044View attachment 2010045View attachment 2010047
Duh[emoji16]Kwa ushahidi huu nilioweka naomba wakutambue kuwa wewe ni Mkuu wa wilaya ya kosarawe unatafuta umaarufu wa kisaisa kupitia udc ila unaonesha woga wa kuja na account fake
USSRView attachment 2010032View attachment 2010033View attachment 2010034View attachment 2010035View attachment 2010036View attachment 2010037View attachment 2010038View attachment 2010040View attachment 2010041View attachment 2010042View attachment 2010043View attachment 2010044View attachment 2010045View attachment 2010047
Huyu jamaa nae huwa anazidisha sana kujisifia na huo usomi wake wakati masomo aliyosoma ni mepesi sana bora mwenye diploma ya civil engineerDaaah jamaa ni mtu wa kawaida mno, yani sifa ulizompa ni uharo mtupu. Akili nyingi ..?? Are you serious..??
Akili nyingi umezipima wapi..??
Mara mia nimpe Nay wa Mitego (True boy) ila sio huyu Nikki wa Pili kazi kujiona na kujitangaza eti yeye ni msomi mara anasoma sana vitabu blaah blaah kibao