King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Niaje Nivipi mbona haurudi?Kwa ushahidi huu nilioweka naomba wakutambue kuwa wewe ni Mkuu wa wilaya ya kosarawe unatafuta umaarufu wa kisaisa kupitia udc ila unaonesha woga wa kuja na account fake
USSRView attachment 2010032View attachment 2010033View attachment 2010034View attachment 2010035View attachment 2010036View attachment 2010037View attachment 2010038View attachment 2010040View attachment 2010041View attachment 2010042View attachment 2010043View attachment 2010044View attachment 2010045View attachment 2010047
We dogo falaaa sana, na mala nyingi nimekuwa nakuambia upo na mavi kwenye kichwa chako na sio ubongo.. ona sasa π π πNikki wa pili ndio msanii na celebrity bora kabisa kwa kizazi hiki hapa Tanzania kwa muda wa miaka 30 iliyopita 1990-2021
Kuna sababu zinazofanya awe Bora kuliko wote na zipo wazi.
Nikki amekuwa bora kuliko wote kwa kipindi hicho kwa sababu zifuatazo;
Kwa hizo sifa, Nikki anaibuka kuwa msanii bora kwa kizazi hiki.
- Ni msanii mahiri
- Hana kashfa wala kiki yoyote
- Mtulivu Sana
- Ana akili nyingi Sana
- Ni msomi, mwanazuoni
- Hatumii kilevi chochote, tofauti na wasanii wengi
- Ana busara sana
Wito, wasanii na celebrities wengine waige mfano.
View attachment 2004241
π π π π π anaugulia maumivu..Niaje Nivipi mbona haurudi?
Mpuuzi sana [emoji3]Nikki usichafue wasanii wenzako una tabia za kijinga sana
Kila laheri Mwana FA....kapiganie tasnia.MwanaFA ana makando alijihusisha na dona, si vizuri kusema hapa Ila Kama mtu mzima utaelewa.
Sii mama zurri ni nikki wa 2 mwenyew huyuusipanic Mama Zuri
Kwaiyo umeamua kumsema naibu waziri sio π€π€π€MwanaFA ana makando alijihusisha na dona, si vizuri kusema hapa Ila Kama mtu mzima utaelewa.
Disii aliamua kujipa maua yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alijua kujipigia promooo, ila DC bhana lol
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Disii aliamua kujipa maua yake