SureHakuna PhD yenye makelele kama ya Nikki.
Laarusai!! Ni wamasai wenye asili ya ukulima(permanent settlement) wanapatikana wilaya ya Arusha jiji na Arusha DCMwarusha ndo kabila gani?
Nahis atakuwa ni Mchagga wa KIHAYA[emoji23]Anachukua phd sijui ya sanaa,ana maringo sana mchagga huyu
msomi wa Arusha yote , hongera zake
Ipo ya Nikki wa piliHakuna PhD yenye makelele kama ya Nikki.
Mkuu izo taarifa una uhakika nazo? I'm just curious ili kujuaNiki Wa Pili sio mchaga pure labda ana kaasili tu ila ni Muarusha + Mpare wa Ugweno.
Lakini si kawaida kwa watu wa Arusha kuringa? (kama wewe hapo)Sure
Ishakuwa taabu yani.
huyu dogo nimesoma naye adv KIGOMA HIGH SCHOOL 2004-2006, Hakufeli, alifaulu tu vizuri!Alifeli A level ndoana alisoma PSPA.....
Sio mchaga anajiitaga masai wa mjini(mwaArusha)Anachukua phd sijui ya sanaa,ana maringo sana mchagga huyu
Unataka kusema mimi naringa?Lakini si kawaida kwa watu wa Arusha kuringa? (kama wewe hapo)
Mkuu jitahidi u act kama mtu mzima na sio kuwa kama wale watoto wa shule ya msingi.Ngoja nipitie CV yake nitarudi[emoji1] [emoji23]
ANASOMEA SUSDIARY (S) MKUUUUU....AAAH AHAAAAAPhd ya development studies...D.S aka General Studies aka Civics.......
Utoto unanisumbua [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Mkuu jitahidi u act kama mtu mzima na sio kuwa kama wale watoto wa shule ya msingi.
Nimepitia list ya Top 20 za TO kuanzia 1997 mpaka 2007 sijaona jina lake NICKSON SIMON MAKINI.Aahhha na ma TO wasemaje? Anyway nimepita, black is not color
Phd ya development studies...D.S aka General Studies aka Civics.......