Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Yawezekana watu wengi wana comment hapa hawajaiangalia hiyo Interview au kwakuwa wanamjua huko mtaani wanavyoishi naye.
Ila kupitia hii interview sijaona sehemu aliyoongea kwa dharau, hakuna sehemu aliyojitapa kuwa yeye ni mwenye akili nyingi isipokuwa anaelezea alivyokuwa anajituma kusoma kwa bidii kwa kuwa kwake shule ndo ilikuwa mkombozi pekee.
Anasema hajawahi kufeli ila mi nimemuelewa kuwa alimaanisha la saba ambalo kwa maelezo yake anaweka bayana kuwa alipata second selection, na alishawahi kuwa wa pili toka mwisho lkn baadae akajitahidi form four.

Nimependa jamaa alivyoongea anaweza kuwapa moyo hata wadogo zetu wanaofeli au wanaoishi kwenye mazingira magumu kuwa wanayo nafasi ya kufaulu.
 
kuhusu kipaji ni kweli anacho.
 
Kipaji sometime huwa kinajificha mpka ukigundue inachukua mda so cshangai kutoperform music school may b kuwez jua alikuwa anataman but hakupata chance au may b alikuwa anataman lakn hakujua aanzie wap
 
Hicho ni kipawa maalumu ila pia wanabiolojia wanasema mwanamke mwenye akili nyingi uwezekano ni mkubwa wa kuzaa watoto wenye
uwezo mkubwa darasani . kazi kwenu mliooa wanawake vilaza.
 
Pspa sijui sociology....
Unaongea usichokijua. Kumbuka pia ni udsm, na alikuwa sociology. Cut off points kipindi hicho ni 10.5. Kama una akili utajua ni division gani lkn kama huna akili huwezi jua
 
0572

M

NICKSON SIMON

7

I

GENERAL-S HISTORY-B GEOGRAP-C ENGLISH-B

Alijitahidi kiasi chake....
 
0572

M

NICKSON SIMON

7

I

GENERAL-S HISTORY-B GEOGRAP-C ENGLISH-B

Alijitahidi kiasi chake....

Kiasi chake...physics B -geography C- mathematics B..... that was 1996.

Kumbe hata mimi nahitaji interview na milard ayo na niutangazie umma sijawahi kufeli...ahahahaha.
Nick mdogo wangu ukiitwa kwenye interview ongelea music tuu...hizi habari za usomi wako unajidhalilisha dogo...mijitu imesoma na imekaa kimya macho kwenye fedha...njoo university of hard knocks like aliye mbele yako professor na like kinachofanyika darasa na kila jioni kabla ya kulala hofubya pepa is kesho.
Punguza majigambo unawakwaza hata mashabiki wako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…