kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Elimu mitaani. com - D khob
Kwa hiyo anasonga kistimu na ndoto kede??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu mitaani. com - D khob
Arusha yote hicho kichekesho. Hujui Arusha labda msomi WA mabeto Na mapanga kule lake duluti.
wimbo gani wa dogo janjando wanavyomwita mkuu, rejea wimbo wa dogo Janja
prof jay, u profesa kapewa na mtaa kwa mapinduzi ya kimziki alioleta.Mkuu unamanisha profesa j kasoma hadi level ya phd? tuambie wapi na chuo gan
kuhusu kipaji ni kweli anacho.huyu dogo nimesoma naye adv KIGOMA HIGH SCHOOL 2004-2006, Hakufeli, alifaulu tu vizuri!
Japo kimuziki alikuwa hajulikani kabsaa maana sherehe zote school hakuwahi kuperfom, waliokuw wakali wa muziki walikuwepo DOGO MEA(olevel)huyu dogo kigoma mjini hakuna asiyemjua!
Gundu (boaz charles) form 5, na wengineo!
kimuziki Nikki amebebwa sana kaka yake nahisi KIPAJI HANA ANAFORCE!
huyu dogo nimesoma naye adv KIGOMA HIGH SCHOOL 2004-2006, Hakufeli, alifaulu tu vizuri!
Japo kimuziki alikuwa hajulikani kabsaa maana sherehe zote school hakuwahi kuperfom, waliokuw wakali wa muziki walikuwepo DOGO MEA(olevel)huyu dogo kigoma mjini hakuna asiyemjua!
Gundu (boaz charles) form 5, na wengineo!
kimuziki Nikki amebebwa sana kaka yake nahisi KIPAJI HANA ANAFORCE!
Kipaji sometime huwa kinajificha mpka ukigundue inachukua mda so cshangai kutoperform music school may b kuwez jua alikuwa anataman but hakupata chance au may b alikuwa anataman lakn hakujua aanzie waphuyu dogo nimesoma naye adv KIGOMA HIGH SCHOOL 2004-2006, Hakufeli, alifaulu tu vizuri!
Japo kimuziki alikuwa hajulikani kabsaa maana sherehe zote school hakuwahi kuperfom, waliokuw wakali wa muziki walikuwepo DOGO MEA(olevel)huyu dogo kigoma mjini hakuna asiyemjua!
Gundu (boaz charles) form 5, na wengineo!
kimuziki Nikki amebebwa sana kaka yake nahisi KIPAJI HANA ANAFORCE!
Before alikua anatumia jina gani kwani?prof jay, u profesa kapewa na mtaa kwa mapinduzi ya kimziki alioleta.
Nigga JayBefore alikua anatumia jina gani kwani?
Unaongea usichokijua. Kumbuka pia ni udsm, na alikuwa sociology. Cut off points kipindi hicho ni 10.5. Kama una akili utajua ni division gani lkn kama huna akili huwezi juaPspa sijui sociology....
B.A. in Sociology, mtofautishe na Sajo aliyesoma B.A.FPAUsanii(sanaa)
okay, niliambia miaka ya mwanzoni mwa mwaka 2000 alibadilisha mawazo ya watu wengi kuwa hip hop ni muziki wa wahuni na kuufanya mziki wa kuelimishaNigga Jay
Ndo hivyookay, niliambia miaka ya mwanzoni mwa mwaka 2000 alibadilisha mawazo ya watu wengi kuwa hip hop ni muziki wa wahuni na kuufanya mziki wa kuelimisha
0572huyu dogo nimesoma naye adv KIGOMA HIGH SCHOOL 2004-2006, Hakufeli, alifaulu tu vizuri!
Japo kimuziki alikuwa hajulikani kabsaa maana sherehe zote school hakuwahi kuperfom, waliokuw wakali wa muziki walikuwepo DOGO MEA(olevel)huyu dogo kigoma mjini hakuna asiyemjua!
Gundu (boaz charles) form 5, na wengineo!
kimuziki Nikki amebebwa sana kaka yake nahisi KIPAJI HANA ANAFORCE!
Weka yako tuone0572
M
NICKSON SIMON
7
I
GENERAL-S HISTORY-B GEOGRAP-C ENGLISH-B
Alijitahidi kiasi chake....
0572
M
NICKSON SIMON
7
I
GENERAL-S HISTORY-B GEOGRAP-C ENGLISH-B
Alijitahidi kiasi chake....