Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Mkuu ni uchawi tu wa Tanzania wengi ni washirikina [emoji23] [emoji23] sadly badly ni vijana huku JF.



[emoji817]
 
Wewe ni tabularasa hata memkwa hujafikia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



[emoji817]
 
prof j anaakili sana kama angelienda darasani angeliongoza maana nyimbo zake nyingi zina maudhui na zinafundisha sana sio kama hawa marapa wa sikuizi wanarap upuuzi tuu na mapenzi na wengine wanaimba kabisa rnb!
Sikiliza nyimbo kama ndio mzee,
Kama unadhani kwenda darasani ndio kuelimika wewe ni wa kupuuzwa (mpuuzi) .



[emoji817]
 
Nikki wa II yuko fine.....nashangaa watu wanachukia kisa anapenda kujiendeleza kielimu.

Nikki ni mshikaji poa sana....hammjui tu.
Mtu akishakuzidi hata kwa idadi ya chawa tu lazima ujiundie defensive mechanism moja wapo ndio hiyo ya wivu Wa Tanzania tusipoacha kuoneana wivu wengi watabakia kucomment tu kwenye success za wengine.



[emoji817]
 
Alifeli A level ndoana alisoma PSPA.....
unajua watu wa PSPA wanachukuliwa wa div gani kwa UDSM hata UDOM?bila Div I huingii PSPA iwe UDSM au UDOM sijui kuhusu Mzumbe, wengi mnaropoka ropoka sana
 
Watanzania tuna wivu sana acha magufuli atunyooshe MTU kusema hajafeli mijitu povu linawatoka
[emoji4] [emoji4] happy am not alone tell them jealous people never win.



[emoji817]
 
Aliwahi kufeli sehemu moja tu alitongoza dem akajinadi yeye ni msomi ana phd ya sanaa dem akamtosa jamaa hakuamini na usomi wake akafeli kuwa hakuwa na vigezo mbele ya binti yule.
 
Mimi simpendi huyu nepi wa tatu ana ringa sana kisa usomi wake...... Afu anajiona bonge la staa wa kitaa. Na mkubali ndugu yake joh makini mwamba wa kaskazini jamaa yuko poa hana maringo na mtu. Lakini sio muarusha huyu asiyejua kiswahili afu anasema hajawahi feli wa kati lugha yake haiwezi vizuri. Sijui alipata ngapi kiswahili.
 
Aliwahi kufeli sehemu moja tu alitongoza dem akajinadi yeye ni msomi ana phd ya sanaa dem akamtosa jamaa hakuamini na usomi wake akafeli kuwa hakuwa na vigezo mbele ya binti yule.
That's so childish stupid sidhani hata kama hiyo PhD amesoma.

Work harder na wewe utoke hata kilimo cha matikiti kinatoa bitchcraft won't help you.



[emoji817]
 
Dah wadau mnadongo knoma mtu kusema neno dogo tu hajawai kufeli mmechambua kupta maelezo.. mbali na pomposity mnayomchukulia pengine amesema hivyo kuwahamasisha watu au jamii kwa ujumla yaan aact kama mentor etc. maana ni kama public figure saiv lazma awe exposed na public life hata wewe unasema hivyo ukiwa interviewed maybe lazma utajikuta unaongelea vitu ulivyopitia pengine hata si kwa dhumuni la kujisifia
 
Sio nikki tu aliyekua hajawahi kufeli, wale waliopita diploma pia wengine hawajawahi kufeli, tunahitaji atleast mwaka upi aliongoza au alikua katika wanafunzi kumi bora
wivu huu ...yeye amesema hajawahi kufeli na sio kua 10 bora
 
Nikki hizi sifa ndio maana sikukubali kabisa nje ya muziki.
Mbona kaka yako Joh mtu poa tu?
Achaga hizo mboyoyo.
aliulizwa umewahi kufeli we unadhani angejibuje......angesema ndio anewahi kufeli mungesema hamumkubali kwa sababu muongo akisema ndio hajawahi mungesema anajisifu angekaa kimya mngedai ana mdharau presenter ....bongo kweli nyoso
 


hapo mwisho umekosea hana kipaji ?
 
sasa aliulizwa unewahi kufeli embu msaidie kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…