hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,539
Mkuu ni uchawi tu wa Tanzania wengi ni washirikina [emoji23] [emoji23] sadly badly ni vijana huku JF.Yawezekana watu wengi wana comment hapa hawajaiangalia hiyo Interview au kwakuwa wanamjua huko mtaani wanavyoishi naye.
Ila kupitia hii interview sijaona sehemu aliyoongea kwa dharau, hakuna sehemu aliyojitapa kuwa yeye ni mwenye akili nyingi isipokuwa anaelezea alivyokuwa anajituma kusoma kwa bidii kwa kuwa kwake shule ndo ilikuwa mkombozi pekee.
Anasema hajawahi kufeli ila mi nimemuelewa kuwa alimaanisha la saba ambalo kwa maelezo yake anaweka bayana kuwa alipata second selection, na alishawahi kuwa wa pili toka mwisho lkn baadae akajitahidi form four.
Nimependa jamaa alivyoongea anaweza kuwapa moyo hata wadogo zetu wanaofeli au wanaoishi kwenye mazingira magumu kuwa wanayo nafasi ya kufaulu.
[emoji817]