Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

unajua watu wa PSPA wanachukuliwa wa div gani kwa UDSM hata UDOM?bila Div I huingii PSPA iwe UDSM au UDOM sijui kuhusu Mzumbe, wengi mnaropoka ropoka sana
Kuna mtu namjua ana div 1 hiv sasa na amekosa bado UD.. nadhani hata div 1 wanaangalia pia bado ni div yangapi
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza" ulizia vizuri kwa watu wakaribu Kati ya Nikki na Joh nani anaringa"
 
unajua watu wa PSPA wanachukuliwa wa div gani kwa UDSM hata UDOM?bila Div I huingii PSPA iwe UDSM au UDOM sijui kuhusu Mzumbe, wengi mnaropoka ropoka sana
Naelewa kila kitu kuhusu cut off point za Udsm kabla ya TCU....
 
Sasa kwa kifupi nilisoma hich chu n kozi niliyosoma mimimum cut off point za nilipokua ninasoma ilikua ni 12.5 point upo hapo....basi wewe ni mshabiki maandazi kama ungelikua umesoma UDSM ungenielewa..ila maana ni mshobokaji ndo mana haujanielewa sawa...
 
Duuhh!! We jamaa PSPA ya UDSM A level inabd uwe na point 7 b4 2010, baada ya TCU kuanza kudahili point 9....
Nafahamuu sasa hapo hajafeli kitu gani? tena nimesema alifeli A level sababu kwa combination yake huwezi kukimbilia PSPSA tena kabla ya TCU hata Dvsion II.10 ulikua unasoma PSPA kwa private sponsorship upo hapo...
 
kwani yeye alisema TO au hajawahi kufeli......tafta list ya wailofeli uone kama utamkuta wewe si huna kazi anza kutafuta
Kutofeli ni kitu kingine ndugu,yeye kujitapa kwamba hajawahi kufeli ndio kilinilazimu kupitia list ya ma TO pengine ningemkuta kwenye list lakini hola.....Kuna tofauti ya One Point Saba na Three ya 25 ingawa wote wamefaulu na wanaenda Advance.
 
Huyu nae kila mtu akitoa profile zake za shule anawwza kuwa yy ndo amefeli.
Pdid ni drop out akiwa second year mwanamuziki mwenzake na yupo ktk rank nzuri yy Kusoma IDS hapo anaona kashamaliza na wanaomfundisha wasemeje ?

Kwanza anamaanisha kufeli kurudia somo au kurudi nyumbani?
Hivi hajawai pata sapu? au kufanya make up test?
Au anamaanisha nini hajawai kufeli?
Hivi hajui hata maprof wanaweza rudia somo au utafit but anywei Sociology then Development angepitia conas au soed au coet story ingekuwa tofauti
 
Wewe una shida tena kubwa. Sema umesoma wapi na mwaka gani
 
Kutofeli ni kitu kingine ndugu,yeye kujitapa kwamba hajawahi kufeli ndio kilinilazimu kupitia list ya ma TO pengine ningemkuta kwenye list lakini hola.....Kuna tofauti ya One Point Saba na Three ya 25 ingawa wote wamefaulu na wanaenda Advance.
Haya meza wembe.

[emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…