BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Wengi humu walifeligi nilichojua na wanaendelea kufeli ndio maana wamepanicWatanzania wamejaa chuki sana...mtu kusema hajawahi kufeli imekuwa nongwa..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi humu walifeligi nilichojua na wanaendelea kufeli ndio maana wamepanicWatanzania wamejaa chuki sana...mtu kusema hajawahi kufeli imekuwa nongwa..!!
Kuna mtu namjua ana div 1 hiv sasa na amekosa bado UD.. nadhani hata div 1 wanaangalia pia bado ni div yangapiunajua watu wa PSPA wanachukuliwa wa div gani kwa UDSM hata UDOM?bila Div I huingii PSPA iwe UDSM au UDOM sijui kuhusu Mzumbe, wengi mnaropoka ropoka sana
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza" ulizia vizuri kwa watu wakaribu Kati ya Nikki na Joh nani anaringa"Mimi simpendi huyu nepi wa tatu ana ringa sana kisa usomi wake...... Afu anajiona bonge la staa wa kitaa. Na mkubali ndugu yake joh makini mwamba wa kaskazini jamaa yuko poa hana maringo na mtu. Lakini sio muarusha huyu asiyejua kiswahili afu anasema hajawahi feli wa kati lugha yake haiwezi vizuri. Sijui alipata ngapi kiswahili.
Naelewa kila kitu kuhusu cut off point za Udsm kabla ya TCU....unajua watu wa PSPA wanachukuliwa wa div gani kwa UDSM hata UDOM?bila Div I huingii PSPA iwe UDSM au UDOM sijui kuhusu Mzumbe, wengi mnaropoka ropoka sana
Sasa kwa kifupi nilisoma hich chu n kozi niliyosoma mimimum cut off point za nilipokua ninasoma ilikua ni 12.5 point upo hapo....basi wewe ni mshabiki maandazi kama ungelikua umesoma UDSM ungenielewa..ila maana ni mshobokaji ndo mana haujanielewa sawa...Wewe huna akili, maana unaongea usichokijua. Hebu check uliyoandika;-
[emoji735] ubavubwa
[emoji735] kitivoni...sijui unamaanisha nini
[emoji735] wanaosanda CASS ni cut off
Yaani hueleweki unacho andika. Tupunuze maneno mengi, kuna mdau kaweka matokeo yake inaonesha ana div I-07.
Weka yako tuone, halafu ueleze na chuo chako tukijue.
Watanzania tuna wivu sana acha magufuli atunyooshe MTU kusema hajafeli mijitu povu linawatoka
Dogo umekula magimbi ya wapi rafiki yangu mbona unaropoka sana?Lipumba !
Naelewa kila kitu kuhusu cut off point za Udsm kabla ya TCU....
Nafahamuu sasa hapo hajafeli kitu gani? tena nimesema alifeli A level sababu kwa combination yake huwezi kukimbilia PSPSA tena kabla ya TCU hata Dvsion II.10 ulikua unasoma PSPA kwa private sponsorship upo hapo...Duuhh!! We jamaa PSPA ya UDSM A level inabd uwe na point 7 b4 2010, baada ya TCU kuanza kudahili point 9....
Kutofeli ni kitu kingine ndugu,yeye kujitapa kwamba hajawahi kufeli ndio kilinilazimu kupitia list ya ma TO pengine ningemkuta kwenye list lakini hola.....Kuna tofauti ya One Point Saba na Three ya 25 ingawa wote wamefaulu na wanaenda Advance.kwani yeye alisema TO au hajawahi kufeli......tafta list ya wailofeli uone kama utamkuta wewe si huna kazi anza kutafuta
Wewe una shida tena kubwa. Sema umesoma wapi na mwaka ganiSasa kwa kifupi nilisoma hich chu n kozi niliyosoma mimimum cut off point za nilipokua ninasoma ilikua ni 12.5 point upo hapo....basi wewe ni mshabiki maandazi kama ungelikua umesoma UDSM ungenielewa..ila maana ni mshobokaji ndo mana haujanielewa sawa...
Tena uwe umepiga vizuri O level..unajua watu wa PSPA wanachukuliwa wa div gani kwa UDSM hata UDOM?bila Div I huingii PSPA iwe UDSM au UDOM sijui kuhusu Mzumbe, wengi mnaropoka ropoka sana
Kutokufeli wengi sana hawajawahi kufeli, alitakiwa aongelee kitu ambacho ni wachache wanakifikiawivu huu ...yeye amesema hajawahi kufeli na sio kua 10 bora
Kumbe wa kawaida tu aulize sie tulio tungua division 2 na 1 za PCBAlifeli A level ndoana alisoma PSPA.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umedadavua vemaPhd ya development studies...D.S aka General Studies aka Civics.......
Haya meza wembe.Kutofeli ni kitu kingine ndugu,yeye kujitapa kwamba hajawahi kufeli ndio kilinilazimu kupitia list ya ma TO pengine ningemkuta kwenye list lakini hola.....Kuna tofauti ya One Point Saba na Three ya 25 ingawa wote wamefaulu na wanaenda Advance.
binadam tungeweza kuondoa WIVU dunia ingekua mahali pazuri pa kuishiKutokufeli wengi sana hawajawahi kufeli, alitakiwa aongelee kitu ambacho ni wachache wanakifikia
Ukaishia kuwa kirusiKumbe wa kawaida tu aulize sie tulio tungua division 2 na 1 za PCB