Nikki wa Pili uko vizuri sana

Nikki wa Pili uko vizuri sana

Siasa hawezi kabisa labda aendelee kujikita kwenye muziki kabisa!

Yani ana papara sana na wala hajui kuwa kuna wakati anatakiwa awaachie wenzie nafasi ya kuongea...! Tangu nianze kumfatilia pale 360 sijawai kuona cha maana kutoka kwake!

Nimekuwa nikijiuliza hivi Clouds TV huwa hawana watu wakualika zaidi ya Nick? Jana ndio kabisa..!

Mimi ninge mshauri abaki kwenye muziki kwenye siasa awaachie wengine!

Jana ulimfuatilia EATV? Uelewa wake ni zaidi ya kilaza aliyeingea kwenye siasa bila kujua siasa. Kama kweli ulimsikiliza, nani alikua anaongea vitu vyenye akili. Nikki katisha...
 
Siasa hawezi kabisa labda aendelee kujikita kwenye muziki kabisa!

Yani ana papara sana na wala hajui kuwa kuna wakati anatakiwa awaachie wenzie nafasi ya kuongea...! Tangu nianze kumfatilia pale 360 sijawai kuona cha maana kutoka kwake!

Nimekuwa nikijiuliza hivi Clouds TV huwa hawana watu wakualika zaidi ya Nick? Jana ndio kabisa..!

Mimi ninge mshauri abaki kwenye muziki kwenye siasa awaachie wengine!

mkuu,kwamba hujawahi ona cha maana toka kwake hapo umekuwa unfair sana!...ila kwa jana,Zitto yupo more informed kwenye siasa kuliko Niki!
Frankly speaking,jana wote Niki na Hudson walipwaya sana kwa Zitto!hata body language ilionesha dhahiri!
 
Anazingua na maswali yake ya kuchalenge kiuanafunz mpaka zito akawa anamaind anauliza swali hujamaliza kujibu anakukatisha kifupi ana maswali ya kuku na yai kipi kimeanza sometime jibu analijua lakin anauluza maswali ya kuleta majibu ya kichwan kwake

teh teh teh...hoja yako imefunikwa kwa hii presentation yako, imekufanya uonekane ni 'hater!'...so sad
 
Niki mweupe sana. Hamna ktu.
 
teh teh teh...hoja yako imefunikwa kwa hii presentation yako, imekufanya uonekane ni 'hater!'...so sad
May be ana madini mengi lakini hayaweki katika mtiririko mzuri. Anauliza swali akitarajia jibu lililopo kichwani kwake kabla hujamaliza anauliza tena ili uingie kwenye jibu lake, sasa huo ni utoto wa wanachuo
 
Hii ndio ilikuwa hoja mkuu, nami nakubaliana nawe kabisa!
 
Elimu haijamsaidia huyu challii, amejaa arrogance ya usomi wa udsm wa kumeza mavitu . Ukisoma body language yake unaona ni mtu aliye na majibu ya kila kitu so anakuuliza kama kukuonyesha ile wewe hiki haukijui sema nikueleweshe. Anajaribu kutengeneza content ya kutosha kichwani alafu anashindwa kuibeba na anachangachanganya mambo.
 
to be honest!Niki kakosa uwezo wa kuwasilisha mawazo ama swali lake straight forward ili aeleweke mapema..?!
 
embu tujaribu Kuwa wawazi ktk hili:Niki bado hajawa vzur ktk kuzungumza apatapo fursa mbele ya public(%)
 
Hakuna hip hop hizo ulizotaja hapa duniani, Labda huko mars.. Hip Hop ni Hip Hop haigawanyiki.

Kwingine uko sawa mkuu.

Hua wananiudhi sana Hawa watu wanaojifanya wanaijua hiphop mara hiphop shule mara hiphop ngumu,hiphop kumkuba,hiphop ya kisasa at the end of the day t shows they knw nothing about hiphop
 
Ungemuangalia kwenye kipindi cha 360 usiku alipokuwa na Zitto Kabwe, nadhani ungeweka mute kila anapoongea
 
Hua wananiudhi sana Hawa watu wanaojifanya wanaijua hiphop mara hiphop shule mara hiphop ngumu,hiphop kumkuba,hiphop ya kisasa at the end of the day t shows they knw nothing about hiphop
Sio tu nnaifahamu hiphop ila nimeiishi hiphop...so usiw na shaka na content yangu ya hiphop.
 
Sio tu nnaifahamu hiphop ila nimeiishi hiphop...so usiw na shaka na content yangu ya hiphop.
siijuji unaifahamu hiphop gani hasa
guys my BOY NAS said "READ MORE LEARN MORE AN CHANGE THE GLOBE"its so simple
 
Waungwana hebu wekeni basi hiyo clip ya hayo mahojiano ili nasi tuweze kufanya mchanganuo...... maana wengine hatuna tv majumbani kwetu...
 
Vijana wa Arusha wengi wana superiority complex, kama umeshaishi nao either mavyuoni ama mtaani utalijua hili. Hivyo linawaathiri sana katika uwezo wao wa kuhoji ama kutoa mada.
 
Niki ni msomi mzuri ila kiukweli kwenye ulimwengu Wa uchambuzi Wa masuala ya kijamii na siasa yupo nyuma mno
 
mi namuelewa sana jamaa ila ananiudhi pale anapotaka asikilizwe yeye na kukatisha mtu anaeongea kifupi ni mtu anaependa ubishani japo ana upeo mkubwa wa kufikiri ila nahisi siasa inamdai sana but muda bado anao.
 
Na nimekusiliza kwenye kipindi cha siasa za siasa nimegundua mambo matano kuhusu wewe.

1. Una ufahamu mkubwa sana kuhusu mambo mengi.
2. Unasoma sana vitabu hivyo vinakujenga kifikra na kimtazamo
3. Una ujuzi wa kuwasiliana kwenye mazungumzo, unasikiliza, unatafakari ndipo unaongea
4. Una maono, mazungumzo yako yamejaa maono ya mbali ni aina ya watu wanaoifikiria kesho na kesho kutwa kila sekunde
5. Wewe ni hazina kubwa ya nchi hii, wanaokubeza wafikirie mara mbili kuhusu wewe.

WEWE NI INSPIRATION.

Tuwe wakweli, ni point gan ya msingi amewahi kutoa akiwa katika interview zake zaidi y kukurupuka na maswali ya secondary swali juu ya swali

nikki wa pili ni msomi wa vitini na ukitaka kudhihilisha ilo tafuta interview ya kipindi kimoja cha East Africa SIASA ZA SIASA kama sjakosea alivyokuwa na mtu mzima afande sele

hamn kitu cha maana zaidi akikosolewa anaanza kupanic
 
Back
Top Bottom