jino1
Senior Member
- Feb 27, 2015
- 100
- 29
Siasa hawezi kabisa labda aendelee kujikita kwenye muziki kabisa!
Yani ana papara sana na wala hajui kuwa kuna wakati anatakiwa awaachie wenzie nafasi ya kuongea...! Tangu nianze kumfatilia pale 360 sijawai kuona cha maana kutoka kwake!
Nimekuwa nikijiuliza hivi Clouds TV huwa hawana watu wakualika zaidi ya Nick? Jana ndio kabisa..!
Mimi ninge mshauri abaki kwenye muziki kwenye siasa awaachie wengine!
Jana ulimfuatilia EATV? Uelewa wake ni zaidi ya kilaza aliyeingea kwenye siasa bila kujua siasa. Kama kweli ulimsikiliza, nani alikua anaongea vitu vyenye akili. Nikki katisha...