Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Hii addiction nilikuwa nayo mwaka 2011 wakati nikiwa new member mpaka 2015 hapo.

JF ilikua ya moto kweli mpaka tukaunda na magrp ya whatsapp enzi hizo members mwisho 56

Jamani acheni JF ina pis kali, tumekulana sana huko nje jf kipindi hicho😅😅😅
 
Mlikua na raha sana zamani sasa ivi tunaogopa elfu tatu zetu kuliwa kizembe mkuu .
 
Poleni sana sana... utandawazi umewaharibia mambo mengi sana!

Sisi enzi hizo tulikua na sherehe za kuonana bila kujuana kwa ID zetu

hivi vitu vilikua vya walikua matured only
 
Sema hii sio zamani mkuu😁
 
Poleni sana sana... utandawazi umewaharibia mambo mengi sana!

Sisi enzi hizo tulikua na sherehe za kuonana bila kujuana kwa ID zetu

hivi vitu vilikua vya walikua matured only
Hakika ilikuwa raha sana
Tunaweza kufanya hata saiv
 
Mkuu umejiunga 2019 leo 2024 una post 3k tu halafu unasema upo addicted kweli😂😂😂😂.
Watu walio addicted wamejiunga mwaka huu na tayari wana post 20k kuendelea. Kila uzi wanatembea nao. Kila ukifungua uzi unapata coment yake pale.
 
Back
Top Bottom