Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Ningekuwa mod ningekulima ban ya mwezi ili huo uraibu ukuishe maana ukianza mambo ya uraibu ni sawa tu na kula nyama ya mtu. Leo utakuwa na uraibu wa JF, kesho uraibu wa betting, mara nyeto, halafu pono, pombe, CCM, ngada, mbususu; na kuendelea.

Mods please piga hii mtu ban ya mwezi; na akifungua akaunti nyingine ungajisha ID halafu piga ban ili tuokoe taifa...😁
0692982696
 
Back
Top Bottom