Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Itoshe tu kesema JF ni bonge moja la platform kuwahi kutokea hapa nchini.

Ni chuo kikuu asee sema tu hakina lecture rooms na hostels

1.kununua na kuagizia bidhaa nje nimejifunza JF
2.Kutumia internet ya bure through vpn nimejifunza JF
3.Machimbo makali ya mitumba na bidhaa kibao mjini bongo nimewagundulia hapa.
4.Achana na apps kali za kudowlodia movie ,kucheki soka na 1Xbet kwa sisi wapiga ramli๐Ÿ˜‚
5.Na kuna demu nimemla kimasihara sana mpaka sijaamin..

SHIKAMOO JF.
Mkuu; hapo namba 2 nije PM unipe mwongozo? ๐Ÿ˜

Ila na hapo # 5 dah! ๐Ÿ™Œ
 
Humu? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Pisi moja amazing sana japo ilikuwa imenizidi miaka 3. Sitaki hata kuitaja na hata kuingia humu haingii tena
Watu wameua ID za zamani wamekuja upya, usipoangalia kama ni mtu wa totoz unarudia kutongoza mtu yule yule kwa ID nyingine.
 
Ila wajuba mliteleza sana kipindi chenu
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Aisee sio mchezo, kuna jamaa mmoja alikuwa ni Pro Chadema na ana matusi na masikhara mengi sana, kumbe alikua ni Doctor Uingereza huko na alikuwa anachukuwa PhD lakin huwezi kumfikria, Halafu ni Bageshi kabisa kanda ya Ziwa. Kuna siku mwaka 2013 kani pm nimpe namba. Baadaye akanipigia nikamfuata pale NSSF Posta kulikuwa na Hotel inaitwa J Bellmonte. Nikaenda pale nikamkuta na Mke wake. Aisee kwanza sikuamini kama ndio yeye na Yeye hakuamini ndio Mimi. Tulia hang on pale mpaka saa 8 usiku na Mke wake alikuwa ni Afisa wa Bank fulani hapa mjini. Akalazimisha sana tuondoke.
 
Back
Top Bottom