Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaaNaipenda jamii forums mno
Mlikua na raha sana zamani sasa ivi tunaogopa elfu tatu zetu kuliwa kizembe mkuu .Hii addiction nilikuwa nayo mwaka 2011 wakati nikiwa new member mpaka 2015 hapo.
JF ilikua ya moto kweli mpaka tukaunda na magrp ya whatsapp enzi hizo members mwisho 56
Jamani acheni JF ina pis kali, tumekulana sana huko nje jf kipindi hicho😅😅😅
😄😄 Kweli mli enjoyHii addiction nilikuwa nayo mwaka 2011 wakati nikiwa new member mpaka 2015 hapo.
JF ilikua ya moto kweli mpaka tukaunda na magrp ya whatsapp enzi hizo members mwisho 56
Jamani acheni JF ina pis kali, tumekulana sana huko nje jf kipindi hicho😅😅😅
Poleni sana sana... utandawazi umewaharibia mambo mengi sana!Mlikua na raha sana zamani sasa ivi tunaogopa elfu tatu zetu kuliwa kizembe mkuu .
IRUDIWEEEHii addiction nilikuwa nayo mwaka 2011 wakati nikiwa new member mpaka 2015 hapo.
JF ilikua ya moto kweli mpaka tukaunda na magrp ya whatsapp enzi hizo members mwisho 56
Jamani acheni JF ina pis kali, tumekulana sana huko nje jf kipindi hicho😅😅😅
Makofi kwako.... 👏Aisee humu jf Kuna Nini.
Me ndo natumia muda wote Sina hiyo Facebook, Instagram, x n.k
Muda mwingi Niko hapa kusogoa, kutaniana, kujifunza, kushare mengi
Naipenda jamii forums mno
Sema hii sio zamani mkuu😁Poleni sana sana... utandawazi umewaharibia mambo mengi sana!
Sisi enzi hizo tulikua na sherehe za kuonana bila kujuana kwa ID zetu
Ratiba ya JF get together party 15/12/2018
Habarini za wakati huu members na msiokuwa members humu Jamii forums. Wote nawasalimu kwa jina la Allah na Mungu mmoja. Za muda huu. Kama ambavyo tumejiandaa katika kuelekea kufanya party yetu hapo tarehe 15/12/2018 Link 1 Link 2 Ifuatayo ndio ratiba kamili ya matukio yatakayojiri siku hiyo...www.jamiiforums.com
hivi vitu vilikua vya walikua matured only
Hakika ilikuwa raha sanaPoleni sana sana... utandawazi umewaharibia mambo mengi sana!
Sisi enzi hizo tulikua na sherehe za kuonana bila kujuana kwa ID zetu
Ratiba ya JF get together party 15/12/2018
Habarini za wakati huu members na msiokuwa members humu Jamii forums. Wote nawasalimu kwa jina la Allah na Mungu mmoja. Za muda huu. Kama ambavyo tumejiandaa katika kuelekea kufanya party yetu hapo tarehe 15/12/2018 Link 1 Link 2 Ifuatayo ndio ratiba kamili ya matukio yatakayojiri siku hiyo...www.jamiiforums.com
hivi vitu vilikua vya walikua matured only
hii inaweza kuwa na ukweliSifa za watu wanaopenda huu mtandao ,ni watu wa kimya kwenye jamii wanaopenda kuzungumza kimoyo moyo.