residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Waulize hao wachangiaji na wewe mleta uzi ujiulize, usawa wa jinsia umewafaidisha nini kwa kuwa na VP na hatimaye Rais!!??Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Ni bora kuzingatia usawa au uwezo!!??