Niko Arusha nasikiliza Radio mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake

Niko Arusha nasikiliza Radio mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake

Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Waulize hao wachangiaji na wewe mleta uzi ujiulize, usawa wa jinsia umewafaidisha nini kwa kuwa na VP na hatimaye Rais!!??

Ni bora kuzingatia usawa au uwezo!!??
 
Sensa inaonyesha Tanzania wanawake ndio population kubwa kuliko wanaume na ndiio wapiga kura wengi

We tukana tu jibu lenu na huyo Lisu wenu mdharau usawa wa kijinsia mtallipata uchaguzi mkuu wa october
Kafie mbali
 
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Combination ya Lissu na Heche lazima munywe mavi pweeeee...
 
Back
Top Bottom