Niko hapa Chicago downtown nafanya tour aisee panatisha

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Leo niko hapa Chicago downtown nafanya tour kwa njia ya you tube aisee ni pazuri sana sijapata kuona uzuri wa namna kama hii katika miji dunian

Kuna siku moja nitaibuka huko Chicago nipaone live kabisa siyo kwa njia ya you tube tena

One day yes kwani waliofika huko waliwezaje

Na nikifika huko mtu wa kwanza kabisa kumshika mkono ili naye aje apaone atakuwa ni Poor Brain mzee wa mishangazi

LONDON BOY
 
Naijuia Chicago (The Windy City) kama kiganja cha mkono wangu. Ila Trump kanifukuza kwa sasa nalima viazi mbatata hapa Ileje.
Pole sana mkuu

Unafukuzwaje kiboya namna hiyo
 
Hivi kwa nini Diasporas wanaogopa sana kurudi bongo kuendeleza Mapambano.
 
Hawaogopi ila hawataki kurudi kwenye msoto. Nani anataka kurudi kwenye hili vumbi? Inconveniences kibao from maji, umeme, barabara, internet, services to rushwa kila kona. Miaka yangu yote Chi-Town kabala sijafukuzwa na Trump sijawahi pata kadhia hata moja, sasa kwanini nirudi Ileje? Hata ingekua wewe mkuu ungekubali kuja kuongozwa na hawa vihiyo uache nchi ya maziwa na asali?

Ngoja Trump asepe nizamie tena 😁
 
Back
Top Bottom