Niko hapa Chicago downtown nafanya tour aisee panatisha

Niko hapa Chicago downtown nafanya tour aisee panatisha

Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Leo niko hapa Chicago downtown nafanya tour kwa njia ya you tube aisee ni pazuri sana sijapata kuona uzuri wa namna kama hii katika miji dunian

Kuna siku moja nitaibuka huko Chicago nipaone live kabisa siyo kwa njia ya you tube tena

One day yes kwani waliofika huko waliwezaje

Na nikifika huko mtu wa kwanza kabisa kumshika mkono ili naye aje apaone atakuwa ni Poor Brain mzee wa mishangazi


LONDON BOY
Mkuu naskia huko italy tayar kisha happen.
Wamama watu wazima wameandamN wanataka vijana mashabab kama mimi hvi et twende tukapeleke moto
 
Back
Top Bottom