Msubir aje kwenu umfukuze na weweNaijuia Chicago (The Windy City) kama kiganja cha mkono wangu. Ila Trump kanifukuza kwa sasa nalima viazi mbatata hapa Ileje.
Busu la Kenge la kenge yeye anaosha vikongwe hukoDuh !
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Leo niko hapa Chicago downtown nafanya tour kwa njia ya you tube aisee ni pazuri sana sijapata kuona uzuri wa namna kama hii katika miji dunian
Kuna siku moja nitaibuka huko Chicago nipaone live kabisa siyo kwa njia ya you tube tena
One day yes kwani waliofika huko waliwezaje
Na nikifika huko mtu wa kwanza kabisa kumshika mkono ili naye aje apaone atakuwa ni Poor Brain mzee wa mishangazi
LONDON BOY
Pole sana mkuu
Unafukuzwaje kiboya namna hiyo
Hivi kwa nini Diasporas wanaogopa sana kurudi bongo kuendeleza Mapambano.Naijuia Chicago (The Windy City) kama kiganja cha mkono wangu. Ila Trump kanifukuza kwa sasa nalima viazi mbatata hapa Ileje.
Hata kama unalima mbatata ila lazima utakuwa na some dollars huwezi piga mihayo kama sisi!Naijuia Chicago (The Windy City) kama kiganja cha mkono wangu. Ila Trump kanifukuza kwa sasa nalima viazi mbatata hapa Ileje.
Hivi kwa nini Diasporas wanaogopa sana kurudi bongo kuendeleza Mapambano.
Hata kama unalima mbatata ila lazima utakuwa na some dollars huwezi piga mihayo kama sisi!