Niko na masikitiko na huzuni kubwa sana kuona vile ambayo uislam umefanywa dodoki la kusafisha maghambi ya mwanasiasa
Uislam dini ya haki
Hii ndiyo falsafa ya dini yetu uislam hsuruhusu kuitweza haki uislamu umeletwa kusimamia haki lakini Cha ajabu viongozi wa wa dini hii haswa wa jamuhuri ya Tanzania kwa Sasa neno haki limekuwa zito vinywani mwao kwakuwa imewabidi kuwa upade wa mwanasiasa anayepuuza haki
Rais Samia ni muislam mwanasiasa anayepigania madaraka yake na Wala hapiganii waislamu Wala masilahi ya uislam lkn cha kushangaza waislamu wanampambania kufa kupona wengine wamehalalisha hata Yale mauwaji ya ya October 29 kwamba WALOUWAWA walistahili Innalillah wainnailaih rajiuun
Uislam umeharamisha kumwaga damu isiyokuwa na hatia ni kharam sana lkn kwakuwa tu viongozi wetu wapo nyuma ya mwanasiasa huyu wameshindwa kabisa kutoka hadharani kulaani mauwaji Yale
Nimalizie kwa kusema rais Samia sio kielelezo Cha uislam waislamu mwacheni Samia apambane mwenyewe na wanasiasa wenzake.
Sawa boko haramNiko na masikitiko na huzuni kubwa sana kuona vile ambayo uislam umefanywa dodoki la kusafisha maghambi ya mwanasiasa