Niko hospitali napima HIV

Niko hospitali napima HIV

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,257
Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.

Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.

Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.

Ntarudi.
 
kimbia majibu ndugu ukisha sikia unaanza kuulizwa utachukua hatua gani endapo... na blah blah nyinginezo
 
Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.

Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.

Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.

Ntarudi.
Umefanya makosa ulivyo kata shauri kuwa unapima HIV Ugepima kwanza pressure halafu ndio ukimwi ufate
 
Nakushauri kimbia mtu wangu. Gonjwa halina tiba hilo
 
aisee ukimwi hautishi we nenda pale ocean road ukalie watu wanaoza huku wako hai ukimwi ni kula mazoez kumeza tembe zako basi fresh
Hujakutana na Ukimwi ule wa Kagera watu walikonda mpk akilala kitandani haonekani unaona kichwa tu nacho kimebaki kama fuvu
 
Back
Top Bottom