Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.
Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.
Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.
Ntarudi.