Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
kimbia majibu ndugu ukisha sikia unaanza kuulizwa utachukua hatua gani endapo... na blah blah nyinginezoHeeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.
Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.
Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.
Ntarudi.
Sikimbii na wala siogopi. Kuna mahali inabidi niyapeleke. Ukisikia kibaka kaomba lift kwenye difenda ndio leo.kimbia majibu ndugu ukisha sikia unaanza kuulizwa utachukua hatua gani endapo... na blah blah nyinginezo
ha ha ha bado mpaka ukianza kuhara hutakimbia baliNakumbuka nimeshapima kama mara nne hivi, lakini mara zote hizo nne nimekimbia hospitali kabla ya majibu kutoka.
Kupima sio ishu, ishu kupokea majibu aiseee
Ha ha ha haha ha ha bado mpaka ukianza kuhara hutakimbia bali utakimbilia hayo majibu
ha ha ha haya nshatemaHa ha ha ha
Tema mate chini aiseee.
Unajua maneno yanaumba.
teh teh tehha ha ha haya nshatema
Umefanya makosa ulivyo kata shauri kuwa unapima HIV Ugepima kwanza pressure halafu ndio ukimwi ufateHeeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.
Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.
Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.
Ntarudi.
Aisee upo?ha ha ha bado mpaka ukianza kuhara hutakimbia bali utakimbilia hayo majibu
kwenda zakoteh teh teh
Ngoma sio kitu kidogo aiseee
Bora msala wa mimba unasovika
aisee ukimwi hautishi we nenda pale ocean road ukalie watu wanaoza huku wako hai ukimwi ni kula mazoez kumeza tembe zako basi freshNakushauri kimbia mtu wangu. Gonjwa halina tiba hilo
teh teh t ehkwenda zako
Hujakutana na Ukimwi ule wa Kagera watu walikonda mpk akilala kitandani haonekani unaona kichwa tu nacho kimebaki kama fuvuaisee ukimwi hautishi we nenda pale ocean road ukalie watu wanaoza huku wako hai ukimwi ni kula mazoez kumeza tembe zako basi fresh