Maccavelli
Senior Member
- Jul 18, 2018
- 173
- 174
Heheh mwaka jana hiyo.
bila shaka una mimba, kusubiria hayo majibu ndio noma mkuu,Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.
Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.
Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.
Ntarudi.
I am a man. Kuna mahali nilipata kazi...sasa jamaa kabla hawajakusainisha mkataba wanakufanyia full body check up. Noma sana wale wazungu.bila shaka una mimba, kusubiria hayo majibu ndio noma mkuu,