Niko hospitali napima HIV

Niko hospitali napima HIV

Heeeee heeee kimbembe leo. Nimeshafika na nishachukuliwa damu wamenipa tube nikatoe haja ndogo kwa ajili ya vipimo vingine.

Sababu ya kupima HIV sio hiyari yangu, ntarudi niwaeleze baadae.

Ingawa sina wasiwasi wala hofu ila dah sipendi majibu yatoke mabaya. Ila inataka moyo. Unaweza sepa kimya kimya.

Ntarudi.
bila shaka una mimba, kusubiria hayo majibu ndio noma mkuu,
 
bila shaka una mimba, kusubiria hayo majibu ndio noma mkuu,
I am a man. Kuna mahali nilipata kazi...sasa jamaa kabla hawajakusainisha mkataba wanakufanyia full body check up. Noma sana wale wazungu.

Sent using my Nokia Torch
 
Back
Top Bottom