Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautaki kuwa full time?? Yaani uwekeze halafu uendelee na mambo mengine? Biashara zote zinahitaji uangaliziHabari zenu wakuu,
Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank).
Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi?
Changamoto na faida zake.
Asanteni.
Uliwahi fanya biashara kablaHabari zenu wakuu,
Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank).
Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi?
Changamoto na faida zake.
Asanteni.
Acha ujinga mkuu.. nunua COIN za mtandaoni hutahitaji kufanya kazi nyingine!
Ukinunua mfano coin inaitwa CORE ukafanya kitu tunaita delegation, unakuwa unapata dola za kutosha kila mwezi hukupesa yako uliyowekeza ikibaki kama ilivyo.
Ni pm ukitaka kujua zaidi