Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

Herpes virus hao daah
 
Kumbe nyie ndo mlienda parachichi lodge?
 
This is Alpha Two-One! We have a man down — I repeat, we have a man down! Taking fire from the north ridge, approximately 300 meters out. Request immediate medical assistance and evac! One KIA, another critically wounded—chest wound, heavy bleeding. Applying pressure but need a medic now! Over.
 
Umekula maisha sasa ni zamu ya MAISHA KUKUKULA WEWE😊
 
M-Pox
 
Wahi hospitali, wakati vipele vinaendelea kuongezeka na umeamua kujifungia gheto/nyumbani kwako unaendelea kujiweka kwenye hatari.

Fikiria, yaani unazunguka huko na kukutaka na mlaya amepigwa na jua, Potassium yake ina jasho la siku kucha, ongeza na uchafu (optional) wamepita watu kadhaa kwenye hiyo Potassium, wengi si mchezo na wewe kutokea huko kusikojulikana unatia kidole/vidole. Trust me that's pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…