Mademu bwana. Unajua kabisa dude lako Lina vilui lui na na corrosive acid na Kila mtu akigusa hapo hapo matatizo yanaanza ila kwa makusudi unavaa mawigi, unaweka makope, unapaka ma makeup, unanyoa kipichjmanyoya hicho chenye matatizo, unavaa kofuli nyeupee, bambataa nalo limo, ona Sasa mnavyowatesa vijana hao kwa kuwauzia kwa makusudi tatizo hilo
Na wewe dogo acha kutumia mipira inayotolewa Bure kwenye ma gest , ma vyuo na vyoo vya ma bar zenye majina ya ndume sijui zana hizo hazina ubora zinapaduka lakini ukinunua kuanzia roughrider ni imara Sana. Na ukiibua dude lisilojulikana usiguse kabisa kwa MKONO dude lake unaweza kujifanganya kwa mpira lakini kidole kikawa na mchubuko kikawabeba. CAVEAT EMPTUR