Msenge kaamua kukanyagia kisoo soo 😂😂😂Mkuu umeamua kumuua member Kwa pressure 😂😂🙌
Hio utaishi nayo tu mkuu😁 hio ni taarifa kwamba ukiendeleza umalaya kituo kifuatacho ni CTCHalafu hii herpes nimeambiea Haina dawa nikweli ? Madaktari mnisaidie ndugu yenu... Nimetoka kumuuliza Hadi "GROK" anasema hamna dawa.
😁🤣😁Kamsemee kwa babaake
🤣🤣🙌Sa si uende hospital kenge wewe
Laiti kama ingekuwa wake wote waelewa😂!Si ni ujinga wa hao wanaume? Ana mke wake kwanini anahangaika na waliobandika makope na kucha na mawigi, warudi nyumbani wawapendezeshe wake zao wawe kama hao wanaowatamani bar. Cha ajabu unakuta hahudumii hata mkewe ila pesa ya kununua wanawake na maradhi yao ipo
🤣🤣🤣 Copy thatThis is Alpha Two-One! We have a man down — I repeat, we have a man down! Taking fire from the north ridge, approximately 300 meters out. Request immediate medical assistance and evac! One KIA, another critically wounded—chest wound, heavy bleeding. Applying pressure but need a medic now! Over.
😁😁😁Umekula maisha sasa ni zamu ya MAISHA KUKUKULA WEWE😊
Eti kafanya foreplay Kwa Malaya 🤣🤣🙌Msiwaache broo, ndo wanapata riziki hapo, tumia kinga/condom.
Halafu kwa malaya unafanya foreplay ili ugundue nini? Hiyo ndo imekuponza.
Hapo vaa condom 3 kwa pamoja, piga kazi chap, kimbia
Noma sana , wee acha tu Mzeesema mademu wengi ukikutana nao road warembooo hadi unawaogopa ila ukiwavua sasa ni majanga mara UTI,GONO,sijui mapele ,maabonde na vitu kibao kwenye pussy zao
🤣🤣😁Usiwaite malaya Waite maafisa utamu
We ni kenge kweli, uzinzi tuu , uvivu wa kukaa na mkeo ona sas umpelekee gono konyoWakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
Akome😆Kwanza kama hayajavuka Masaa 72, wahi Kituo Cha Afya, upewe Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Hiyo ni Herpes , Herpes inawapata sana wenye UKIMWI
Wake zetu wenyewe hawa ukimpeleka sehemu nzuri akatafune vyuku ghafla mtu kanuna, ukimuuliza oooh sio bure hapa ulikua unakuja na nani hapo kashaharibu shughuliNenda bugando ukatibiwe kama bado mpunga upo. Siku nyingine ukipata hela kafurahi na familia yako.
Inayo bana,japo inategemea Kuna Herpes 1 na Herpes 2.Halafu hii herpes nimeambiea Haina dawa nikweli ? Madaktari mnisaidie ndugu yenu... Nimetoka kumuuliza Hadi "GROK" anasema hamna dawa.