Niko kitandani siku ya pili Sasa Baada ya kukutana na huyu Dada

Ndo maana mnakufa mapema kizembe kabisa. Fikiria unatoa pesa zako unanununanunua maradhi. Ujanja uko wapi hapo?
 
Endelea kulala adi usaa ukujae ndo utajuwa ujui, ila io ni herpes kama ni gono ungekuta usaa tayari, wahi hopsital mzee
 
Nenda hospital haraka
 
Herpes virus hao daah
Inaibgia haraka kutoka kipengele,na asipokuwa makini hatapona inaonyesha ni bahili kwenye tiba,ajitahidi kutoka humo,chukua walembo viofisi Vya hapo Nata,City center madukani hapo,unaenda kuopoa janamke unaogopa na . mamikorogo kama yote,please jitahidi kujipambanua vizuri,Kuna Wanaxhua hapa Bugando na Sauti wewe unakomaa.na majitu mauchafu utavuna mabua mura
 
Majuto ni mjukuu,
yashakukuta makuu,
zaidi ya moto wa kifuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…