Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
IMG_20230515_183645_863.jpg
 
Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Public health Act, 2009.

Huyo anafuga vitu ambavyo ni "injurious to human health"
 
Imagine kila mmoja anabeba mende wake na kuwapeleka kwao
Najua wakimbizi watu kumbe mpaka mende
 
Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Wacha mende mengine hata na daladsla zina kunguni. Hizo ni nyumba za kulala huko zinakopaki.usiwe unakaa maeneo ya pembeni. Kaa nafasi ya katkati ambako hao wadudu hao hawapendi kujificha.
 
Umepanda Basi la Handeni wewe.
Hakuna Basi la tanga mjini lenye hao wadudu.
 
Hahahaaa watu wana comments buana🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Shiiii ongea taratibu hao ni abiria wenzio watu wa Tanga sio mende wameamua kusafiri bure toka Tanga hadi Dar

Uliza wazee wanga wakubwa wa Tanga watakuambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu amepanda kipacha la kwamsisi halafu anasema Basi la tanga. Okay, kwamsisi iko mkoa wa Tanga. Next time jaribu ku specify na kutaja jina la Basi.
 
Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Bus lilinunuliwa jipya watakuwa mende wameletwa na abiria. Hapo ndipo pa kuanzia.
 
Afadhali mende hawasumbui, kuna mabasi yana mbu balaa, ile unawahi alfajiri kwenda mikoani umeingia kwenye basi unaanza kusumbuliwa na mbu. Funga kazi ni ni mabasi yenye kunguni kwenye siti zake, hao wadudu ndio wasumbufu mbu wakasome. Kuna uzembe wa kufanya usafi ikewemo kupulizia dawa ndani ya mabasi ili kuua wadudu wasumbufu. Mabasi ya vijijini ni kawaida kukutana na wadudu kama wote wakiwemo chawa,
 
Back
Top Bottom