Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
wewe na huyo mtoa huduma ya usafirishaji wote ni wachafu tu hakuna sheria kwenu, toa malalmiko yako kwa wahusika wafanye usafi kwenye gari na ww utumie usafir wenye hadhi nzuri maana siku nyingine utapandishwa fisi sio bure.
 
Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Nenda na wakati, siku hizi kuna biashara ya kufuga mende kwa ajili ya chakula hivyo mwenye basi ameona atumie fursa ya kuwalisha mabaki ya vyakula vitupwavyo na abiria.
 
Kuna wale mende wanaoliwa wale wa kufugwa vipi? Mkuu hawafanani? na walee wa kufugwa ambao ni msosi
 
Bus halina mende wala kunguni

Ila nyie abiria ndio mnabeba mende na kunguni mnapeleka kweny mabus ya watu
 
Acha uchuro. Ni Basi gani? Mbona unaona tabu kulitaja au umepewa lift kwenye gari la mkaa ukadhani Ni Basi?
 
Back
Top Bottom