google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
wewe na huyo mtoa huduma ya usafirishaji wote ni wachafu tu hakuna sheria kwenu, toa malalmiko yako kwa wahusika wafanye usafi kwenye gari na ww utumie usafir wenye hadhi nzuri maana siku nyingine utapandishwa fisi sio bure.Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Tanga wachafu sanaHyo route Kuna gari Moja tu?
Nunua lako mkuuNatoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Nenda na wakati, siku hizi kuna biashara ya kufuga mende kwa ajili ya chakula hivyo mwenye basi ameona atumie fursa ya kuwalisha mabaki ya vyakula vitupwavyo na abiria.Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Kama ni basi la Tanga basi hao wala si mende, ni majini tu wana waenjoy nyinyi abiriaNatoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp