Niko likizo napigiwa simu nirudi kambini Idd Amin amevamia nchi yetu 1978

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
 
Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
 
Miaka hiyo hakukuwa na simu za mkononi kijijini acha uongo wewe ulipigiwa simu wapi wewe
Fix hizo
 
Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
Njia ya mwongo ni fupi... Simulizi nyingi hapa ni za uongo na wengi hawajui kudanganya kwani wanaumbuliwa na mambo madogo madogo.
 
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Duh!Haya mkuu!
 
Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
Acha kabisa kuna vitu ni kukaa kimya tu, mwaka 1978 kupigiwa simu mkuu wetu yawezekana alikuwa alishafikia walau u meja.
 
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
MUONGO ,UNA UMRI GANI SASAHIVI UKO JF? SIMU ULIPIGIWA KWA NJIA GANI?
 
Back
Top Bottom