Niko likizo napigiwa simu nirudi kambini Idd Amin amevamia nchi yetu 1978

Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Mbona hii vita nilisoma ilitokea mwisho mwisho mwa mwez wa 10 1978? Ww April unapigiwa simu?
 
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Daah!....kumbe simu zilikuwepo mwaka huo?
 
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Ilikua simu au telegram?
 
Kwanza ni urongo mtupu.
Sheria gani za jeshi unasema zipo Tukuyu?
 
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Andika kitabu mkuu, hz story ni tamu Sana, zikionyesha uhodar wa jwatz,kipindi hicho sio hii ya sasa imejaa machawa watupu na vilaza,
Unqkuta wanajeshi wanne wanampiga raia kisa wamemkuta na nguo inayofanana na Kombat zao!
Badala ya kumkamata, mpe elimu, raia asiye na mafunzo anachangiwa na wanajeshi wa nne!
 
Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
1000145860.jpg
 
Njia ya mwongo ni fupi... Simulizi nyingi hapa ni za uongo na wengi hawajui kudanganya kwani wanaumbuliwa na mambo madogo madogo.
Uongo kabisa huu,simu Tukuyu zilikuwa za kuhesabu Tena za kukoroga na Wengi walikokuwa nazo ni wahindi na Taasisi!Na mpaka uombe posta(900). Operator mpaka apokee lisaa lizima.
 
Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.

Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.

Pamoja na kukosea timeline ya vita ya Kagera, mwaka 78 ulipigiwa simu ipi hiyo?
 
Back
Top Bottom