Niko likizo napigiwa simu nirudi kambini Idd Amin amevamia nchi yetu 1978

Niko likizo napigiwa simu nirudi kambini Idd Amin amevamia nchi yetu 1978

Enzi hizo kulikuwa na Simu za UPEPO sijui kama kuna watu wanazifahamu kabisa, Mzee wangu alikuwa kituo kimoja cha kazi, zilikuwa zikitumika. Unaita kwa kelele na kupokea kwa kelele, nadhani bado zipo baadhi ya maeneo.
 
Back
Top Bottom