Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
MarhabaaaShikamoo Kwanza mzee
Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.
Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.
Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Afu ni kijana wa 90Usituweke hapa maliza stori yake chapu
Miaka hiyo hakukuwa na simu za mkononi kijijini acha uongo wewe ulipigiwa simu wapi weweIlikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.
Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.
Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Njia ya mwongo ni fupi... Simulizi nyingi hapa ni za uongo na wengi hawajui kudanganya kwani wanaumbuliwa na mambo madogo madogo.Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
Duh!Haya mkuu!Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.
Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.
Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Acha kabisa kuna vitu ni kukaa kimya tu, mwaka 1978 kupigiwa simu mkuu wetu yawezekana alikuwa alishafikia walau u meja.Radio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
MUONGO ,UNA UMRI GANI SASAHIVI UKO JF? SIMU ULIPIGIWA KWA NJIA GANI?Ilikuwa mwezi April mwaka 1978 Niko likizo kwa mujibu wa kanuni za Huko Tukuyu Mbeya kwa wazee wangu.
Kwanza sikufaidi likizo pale nilipopata simu naambiwa nirudi Kagera kimenuka Amini amevamia nchi yetu ilikuwa sio jambo jepesi kulipokea na kuamua kwenda vitani Ambako Haina uhakika wa kurudi.
Timbwili lianza pale namuaga mama kwamba naenda vitani Kagera Itaendelea
Hebu tulia jamaa ajifunze kutunga riwaya halafu atatukabidhi tuhariri aisee!πππRadio Tanzania ilitutangazia kuwa Idd Amini alivamia mpakani kagera tarehe 27 October, 1978. Tarehe 30 au 31, Nyerere alitangaza kuingia vitani. Ilikuwaje wewe uitwe vitani April 1978, miezi 6 kabla?
Ilikuwepo nyumbani kwao.MUONGO ,UNA UMRI GANI SASAHIVI UKO JF? SIMU ULIPIGIWA KWA NJIA GANI?