Niko likizo napigiwa simu nirudi kambini Idd Amin amevamia nchi yetu 1978

Mbona hii vita nilisoma ilitokea mwisho mwisho mwa mwez wa 10 1978? Ww April unapigiwa simu?
 
Daah!....kumbe simu zilikuwepo mwaka huo?
 
Ilikua simu au telegram?
 
Kwanza ni urongo mtupu.
Sheria gani za jeshi unasema zipo Tukuyu?
 
Andika kitabu mkuu, hz story ni tamu Sana, zikionyesha uhodar wa jwatz,kipindi hicho sio hii ya sasa imejaa machawa watupu na vilaza,
Unqkuta wanajeshi wanne wanampiga raia kisa wamemkuta na nguo inayofanana na Kombat zao!
Badala ya kumkamata, mpe elimu, raia asiye na mafunzo anachangiwa na wanajeshi wa nne!
 
Njia ya mwongo ni fupi... Simulizi nyingi hapa ni za uongo na wengi hawajui kudanganya kwani wanaumbuliwa na mambo madogo madogo.
Uongo kabisa huu,simu Tukuyu zilikuwa za kuhesabu Tena za kukoroga na Wengi walikokuwa nazo ni wahindi na Taasisi!Na mpaka uombe posta(900). Operator mpaka apokee lisaa lizima.
 

Pamoja na kukosea timeline ya vita ya Kagera, mwaka 78 ulipigiwa simu ipi hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ