Mama pretty JF-Expert Member Joined May 1, 2020 Posts 2,082 Reaction score 4,103 Nov 19, 2024 #41 Kyambamasimbi said: Nina 58 nilistaafu kwa hiari mwaka Juzi bwana Makongolosi, na pia mm naishi Makongolosi now Click to expand... Mwaka 2024-1978=46 Miaka yako 58-46=12 Hongera, ulipigiwa simu ukiwa na miaka 12 uende vitani😂
Kyambamasimbi said: Nina 58 nilistaafu kwa hiari mwaka Juzi bwana Makongolosi, na pia mm naishi Makongolosi now Click to expand... Mwaka 2024-1978=46 Miaka yako 58-46=12 Hongera, ulipigiwa simu ukiwa na miaka 12 uende vitani😂
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Nov 19, 2024 #42 Njoo vijana wangu wa 2000 Kuna guzee gumeleta uongo ,wazee wenziye wako wanamchana chana bila huruma
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Nov 19, 2024 #43 Mama pretty said: Mwaka 2024-1978=46 Miaka yako 58-46=12 Hongera, ulipigiwa simu ukiwa na miaka 12 uende vitani😂 Click to expand... Aiseee,mzee wa watu hatajaribu kurudi kabisa Jf ni hatar zaidi ya fbi
Mama pretty said: Mwaka 2024-1978=46 Miaka yako 58-46=12 Hongera, ulipigiwa simu ukiwa na miaka 12 uende vitani😂 Click to expand... Aiseee,mzee wa watu hatajaribu kurudi kabisa Jf ni hatar zaidi ya fbi
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,109 Reaction score 5,284 Nov 19, 2024 #44 Mama pretty said: Mwaka 2024-1978=46 Miaka yako 58-46=12 Hongera, ulipigiwa simu ukiwa na miaka 12 uende vitani😂 Click to expand... Wewe ndo umemkimbiza mazima
Mama pretty said: Mwaka 2024-1978=46 Miaka yako 58-46=12 Hongera, ulipigiwa simu ukiwa na miaka 12 uende vitani😂 Click to expand... Wewe ndo umemkimbiza mazima
kwaku the traveler JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 218 Reaction score 586 Nov 19, 2024 #45 Kamanda mwandamizi ulikuwa kikosi gani
Mama pretty JF-Expert Member Joined May 1, 2020 Posts 2,082 Reaction score 4,103 Nov 19, 2024 #46 Wagumu Tunadumu said: Aiseee,mzee wa watu hatajaribu kurudi kabisa Jf ni hatar zaidi ya fbi Click to expand... Home of great thinkers!! Hukubali kubali tu kila kitu unachowekewa mada😂
Wagumu Tunadumu said: Aiseee,mzee wa watu hatajaribu kurudi kabisa Jf ni hatar zaidi ya fbi Click to expand... Home of great thinkers!! Hukubali kubali tu kila kitu unachowekewa mada😂
Mama pretty JF-Expert Member Joined May 1, 2020 Posts 2,082 Reaction score 4,103 Nov 19, 2024 #47 Mayala B said: Wewe ndo umemkimbiza mazima Click to expand... Atarudi tu kujibu kamanda wetu😂
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Nov 22, 2024 #48 Enzi hizo kulikuwa na Simu za UPEPO sijui kama kuna watu wanazifahamu kabisa, Mzee wangu alikuwa kituo kimoja cha kazi, zilikuwa zikitumika. Unaita kwa kelele na kupokea kwa kelele, nadhani bado zipo baadhi ya maeneo.
Enzi hizo kulikuwa na Simu za UPEPO sijui kama kuna watu wanazifahamu kabisa, Mzee wangu alikuwa kituo kimoja cha kazi, zilikuwa zikitumika. Unaita kwa kelele na kupokea kwa kelele, nadhani bado zipo baadhi ya maeneo.