Niko mawindoni UDSM

Niko mawindoni UDSM

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Nimesikia kamkopo hakajazama jaman nikaona niendeshe kandinga kangu mpk hapa nizuge zuge nione ntaondoka na nani leo?

Au kametoka nisijetoka kapa?? Kama kuna boy amepinda njoo pm utakuwa wakala wangu na maisha hapa mjini hayatakupa shida ila tu ujue kuplay nafas ya uwakala vzr

( zingatia ukiwa wakala usitaman mali za bosi utajuta)

Niko hapa utawala
 
Boss hapo utawala utauza sura tu.
Shuka pale contena kata kona kushoto ingia Chief Kunambi road kapaki gari pale katikati ya Hall Five na Hall two (kaa juu ya gari ukielekeza uso wako pale kariakoo)
Utajizolea demu unayemtaka...
Japo enzi nasoma mie ckuwafaidi kabisa sababu nilikua addicted na nyeto...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Shukran bos nashuka fasta maana sahiz sina mchepuko niliokuwa nao tumeshindana
 
Hahaha! Mkuu mbona nipo hapa sikuoni? Au upo maeneo gani babu?
 
Nimesikia kamkopo hakajazama jaman nikaona niendeshe kandinga kangu mpk hapa nizuge zuge nione ntaondoka na nani leo?

Au kametoka nisijetoka kapa?? Kama kuna boy amepinda njoo pm utakuwa wakala wangu na maisha hapa mjini hayatakupa shida ila tu ujue kuplay nafas ya uwakala vzr

( zingatia ukiwa wakala usitaman mali za bosi utajuta)

Niko hapa utawala

Kuwa makini usije itiwa mwizi kama Thomas mashali
 
Nenda hall seven pale, paki ndinga kwa mbele kule karibu na mlango wa kuingilia,ipo miwili pale,chagua wowote, toka nje ya gari, egemea gari, watapita pita wengi, chagua unaemtaka, muite, mwambie samahani dada, hapa ndio coet? Ataanza kukuelekeza ilipo coet, akimaliza, badili gia angani.
 
Back
Top Bottom