Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

Napeleka Corolla yangu kufanyiwa embroidery kwa watu wa Azam mikocheni ,shida ni kuwa Mimi sitembei kwa haraka lakini pia napitia vituo vya wake zangu wote hivyo kufika dar ni baada ya siku tatu .

Labda siku nyingine bro
Vipi kaka, siku hizi unapenda emoji?
 
Back
Top Bottom