Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kwa mantiki ya mawazo yw Mkoani hukoooo Kigoma au Ruvuma Mkuu. Amini usiamini kwa Daaaslam kuna wadosi wakishanunua gari alipendalo lile la awali analiondoa kwa bei rahiiiiisi mno, shida huwa na madalali tu.Kiukweli kama unahitaji usafiri kwa ajili ya kufika na kurejea mahala aheri ufanye subira aidha kwa kuendelea kudunduliza uweze kujazia hiyo pesa walau ufikishe 5m utafute Passo yako iliyonyooka au Vitz, ama uamue kuchukua bodaboda yako kama TVS, Boxer au nyinginezo uweze kusogeza siku mpaka hapo mambo yatakapokuwa sawa sawia. Gari ya kiasi hicho ni matatizo na muda si mrefu utalaumu kila mtu duniani!
Kaka...nisaidie kama uwezekano upo tafadhaliUnaongea kwa mantiki ya mawazo yw Mkoani hukoooo Kigoma au Ruvuma Mkuu. Amini usiamini kwa Daaaslam kuna wadosi wakishanunua gari alipendalo lile la awali analiondoa kwa bei rahiiiiisi mno, shida huwa na madalali tu. Kwa macho yangu nimeshuhudia Mdau mmoja akiuziwa Toyota Corolla pale Ubungo Plazza kwa Mil.3 na gari ikiwa namba B na Injini safi shida ilikuwa matairi. Hadi sasa gari hilo ni Teksi Mkoani jamaa anaingiza hesabu kila wiki. Kwahiyo tusimkatishe tamaaa mhitaji wa Gari la 2.5 atapata DUET saafi, au Corolla matata ambayo siyo pasua kichwa.
Ongezea pesa mkuu walau 5-7m kama unataka chukulia hapa bongo pia utulize sana akili unaponunua lasivyo utakua na budget nzuri na utapigwa vilevile kama unaweza jambo la kheri kabisa ni agiza nje uje ubikiri mwenyewe kwa hapa kwetu kwa pesa hiyo utanunua mawazo siyo gari ila kama huwezi vumilia bora ununue pikipiki tu boxer au tvs yako saaafi.Nishaur kaka cha kufanya
Sasa hizi ni bahati ambazo siyo za wote mjomba.Unaongea kwa mantiki ya mawazo yw Mkoani hukoooo Kigoma au Ruvuma Mkuu. Amini usiamini kwa Daaaslam kuna wadosi wakishanunua gari alipendalo lile la awali analiondoa kwa bei rahiiiiisi mno, shida huwa na madalali tu. Kwa macho yangu nimeshuhudia Mdau mmoja akiuziwa Toyota Corolla pale Ubungo Plazza kwa Mil.3 na gari ikiwa namba B na Injini safi shida ilikuwa matairi. Hadi sasa gari hilo ni Teksi Mkoani jamaa anaingiza hesabu kila wiki. Kwahiyo tusimkatishe tamaaa mhitaji wa Gari la 2.5 atapata DUET saafi, au Corolla matata ambayo siyo pasua kichwa.
Weka mawasiliano yakoNiko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris
Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
Mkuu kwa hiyo budget na gari utakayoipata nakushauri uende kabisa Veta kama sio cha ujenzi ukasome kozi ya ufundi wa magari kabisaaa na ununue na ovaloli utembee balo kwenye hiyo gari yako.